Rais Samia Suluhu amemteua Jaji George Mcheche Masaju kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani.
Kabla ya uteuzi huo, Jaji Masaju alikuwa Jaji wa Mahakama Kuu na Mshauri wa Rais katika masuala ya sheria.

·9 Views