Mise Ă  niveau vers Pro

Daah kumbe kuna baadhi ya Watu wanafurahia kilichotokea Nchini Marekani 😼‍💹

Hata kama Nchi hii ina mambo mengi ambayo hayafurahishi kwa mataifa mengi lakini hawa waliopatwa na janga hili ni Watu kama sisi. Mwenyezi Mungu awasaidie na kuwawekea wepesi.

Daah kumbe kuna baadhi ya Watu wanafurahia kilichotokea Nchini Marekani đŸ‡șđŸ‡žđŸ€”đŸ˜ź‍💹 Hata kama Nchi hii ina mambo mengi ambayo hayafurahishi kwa mataifa mengi lakini hawa waliopatwa na janga hili ni Watu kama sisi. Mwenyezi Mungu awasaidie na kuwawekea wepesi.
Sad
1
·23 Vue