"Katika miezi michache iliyopita, tumepiga hatua kubwa na tumekuwa bora zaidi. Haya ni matokeo ya kile tulichofanya, na kile tunachoendelea kufanya.
Hatutaki kuwa wa kwanza kupoteza nafasi dhidi ya wapinzani wetu. Kimsingi, tutajaribu kila kitu kesho ili kuona kama tunaweza kufanikisha lengo letu, tunajua kwamba jambo muhimu ni ushindi na tunalichukulia kwa uzito mkubwa" - Ramovic, Kocha Mkuu wa klabu ya Yanga SC.

·39 Views