Passa a Pro

CAF CONFEDERATION CUP

FC BRAVOS SIMBA SC
01:00 usiku
11 de Novembro

Ni mechi ya mapema. Itapigwa pale nchini Angola. Wote wawili hapa wana nafasi ya kufuzu. Wanatofautiana pointi tatu tu, Ushindi au sare tu, kwa Simba utaifanya ifuzu moja kwa moja robo fainali. Kila la kheri Mnyama #simbasctanzania

#paulswai
CAF CONFEDERATION CUP πŸ‡¦πŸ‡΄ FC BRAVOS πŸ†š SIMBA SC πŸ‡ΉπŸ‡Ώ ⏰ 01:00 usiku 🏟️ 11 de Novembro Ni mechi ya mapema. Itapigwa pale nchini Angola. Wote wawili hapa wana nafasi ya kufuzu. Wanatofautiana pointi tatu tu, Ushindi au sare tu, kwa Simba utaifanya ifuzu moja kwa moja robo fainali. Kila la kheri Mnyama #simbasctanzania πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡Ώ #paulswai
Like
3
Β·160 Views