Mtandao wa Poly market unaongoza kuweka mikake ya kubeti kuhusu masuala au matukio mbalimbali ya ulimwenguni kama vile masuala ya siasa na matukio mazito imeweka Odds juu ya mtandao wa TikTok kuwa utafungiwa kabla ya mwezi Mei.
Ongezeko hili kubwa la hali ya utata imekuja baada ya miezi kadhaa ya wabunge na wanasiasa kubishana kuhusu faragha ya data ya jukwaa na athari za usalama wa taifa na kuitaka kuifungia mtandao huo.
#polymarket #tiktok #tiktokban #teknoloji #habari

1 Commentaires
·119 Vue