Upgrade to Pro

Wakati kuna baadhi ya Wachezaji wanaenda kufanya maombi kwa viongozi wa dini ili kurudisha viwango vyao Mwamba wa uwagadugu anachage tuh nywele nyeusi kwenda nyeupe kiwango kimerudi

Mechi 2 za mwisho CAF Champions magoli 2, Ki Aziz Kujiamini kumerudi, mashuti yamerudi namuona akiendelea na makali yake ya msimu uliopita

#muslehelbarcaupdates

#yangasc #CAFChampionsLeague
Wakati kuna baadhi ya Wachezaji wanaenda kufanya maombi kwa viongozi wa dini ili kurudisha viwango vyao Mwamba wa uwagadugu anachage tuh nywele nyeusi kwenda nyeupe kiwango kimerudi ๐Ÿ˜‚ Mechi 2 za mwisho CAF Champions magoli 2, Ki Aziz Kujiamini kumerudi, mashuti yamerudi namuona akiendelea na makali yake ya msimu uliopita ๐Ÿ”ฅ #muslehelbarcaupdates ๐Ÿ‘ฝ #yangasc #CAFChampionsLeague
Like
2
1 Comments ยท46 Views