Wakati kuna baadhi ya Wachezaji wanaenda kufanya maombi kwa viongozi wa dini ili kurudisha viwango vyao Mwamba wa uwagadugu anachage tuh nywele nyeusi kwenda nyeupe kiwango kimerudi

Mechi 2 za mwisho CAF Champions magoli 2, Ki Aziz Kujiamini kumerudi, mashuti yamerudi namuona akiendelea na makali yake ya msimu uliopita

#muslehelbarcaupdates

#yangasc #CAFChampionsLeague
Wakati kuna baadhi ya Wachezaji wanaenda kufanya maombi kwa viongozi wa dini ili kurudisha viwango vyao Mwamba wa uwagadugu anachage tuh nywele nyeusi kwenda nyeupe kiwango kimerudi 😂 Mechi 2 za mwisho CAF Champions magoli 2, Ki Aziz Kujiamini kumerudi, mashuti yamerudi namuona akiendelea na makali yake ya msimu uliopita đŸ”„ #muslehelbarcaupdates đŸ‘œ #yangasc #CAFChampionsLeague
Like
2
1 Kommentare 0 Anteile 2KB Ansichten