Rais wa Korea Kusini aliyesimamishwa kazi, Yoon Suk Yeol amekamatwa kufuatia tuhuma za uasi dhidi yake, na kuwa Rais wa kwanza aliye madarakani kukamatwa nchini humo.
Rais Yoon amesema amekubali kufika mbele ya Ofisi ya Uchunguzi wa Ufisadi, ingawa ni uchunguzi usio halali, ili kuzuia umwagaji wa damu.

·47 Views