Upgrade to Pro

Rais Samia Suluhu amemteua Mhandisi Ramadhani Masoud Lwamo kuwa Katibu Mtendaji wa Tume ya Madini.

Kabla ya uteuzi huo Mhandisi Lwamo alikuwa akikaimu nafasi hiyo.
Rais Samia Suluhu amemteua Mhandisi Ramadhani Masoud Lwamo kuwa Katibu Mtendaji wa Tume ya Madini. Kabla ya uteuzi huo Mhandisi Lwamo alikuwa akikaimu nafasi hiyo.
Like
2
·28 Views