Rais Burkina Faso, Ibrahim Traoré wamesisitiza uamuzi wake wa kukataa mikopo kutoka Shirika la kimataifa la Fedha Duniani (IMF) na Benki ya Dunia akipendekeza kuwa Nchi yake itaegemea kwenye kujitegemea.
Akizungumza katika kongamano la kiuchumi la kanda, amesema kuwa iko haja ya mataifa ya Afrika kutegemea rasilimali zao na kujikomboa kutoka kwa kile alichokitaja kuwa "utumwa wa kifedha."
"Afrika haihitaji Benki ya Dunia, IMF, Ulaya, au Amerika. Tunavyo vinavyohitajika kukuza uchumi wetu bila mikopo na kukataa kuwa watumwa wa kifedha." Ibrahim Traoré, Rais wa Burkina Faso .

"Afrika haihitaji Benki ya Dunia, IMF, Ulaya, au Amerika. Tunavyo vinavyohitajika kukuza uchumi wetu bila mikopo na kukataa kuwa watumwa wa kifedha." Ibrahim Traoré, Rais wa Burkina Faso 🇧🇫.
·18 Views