饾悘饾悜饾悇饾悞饾悞

“Hatujawahi kwenda kucheza mchezo kwa ajili ya droo sisi lengo letu namba moja ni ushindi, sina haja ya kuongelea kuhusu matokeo mengine zaidi ya ushindi hapo kesho, nina wachezaji ambao wanaweza kubadilika kutokana na mbinu zangu au kutokana na mfumo wa wapinzani, sina mashaka na mbinu zangu kwenye kupata matokeo ya ushindi hapo kesho” Sead Ramovic

#timuyawananchi
#DaimaMbeleNyumaMwiko
#neliudcosih
饾悘饾悜饾悇饾悞饾悞馃挰 “Hatujawahi kwenda kucheza mchezo kwa ajili ya droo sisi lengo letu namba moja ni ushindi, sina haja ya kuongelea kuhusu matokeo mengine zaidi ya ushindi hapo kesho, nina wachezaji ambao wanaweza kubadilika kutokana na mbinu zangu au kutokana na mfumo wa wapinzani, sina mashaka na mbinu zangu kwenye kupata matokeo ya ushindi hapo kesho” Sead Ramovic #timuyawananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko #neliudcosih
Like
1
0 Commentarios 0 Acciones 1K Views