Wizara ya Fedha imewatahadharisha wastaafu wote nchini kuwa makini na ujumbe mfupi unaotumwa wa kitapeli, ukionesha mtu aliyetumiwa ujumbe alipigiwa simu na Hazina na hakupatikana, na anahitajika kufika Ofisi za Hazina Ndogo huku ukimtaka apige simu kwa namba zilizoandikwa kwenye ujumbe kwa maelezo zaidi.
Wizara imesema hakuna zoezi lolote la uhakiki wa mafao linalofanywa na Hazina na huduma za wastaafu hutolewa bure.

·27 Views