Rais Samia Suluhu amemteua Dkt. Grace Elias Magembe kuwa Mganga Mkuu wa Serikali akichukua nafasi ya Profesa Tumaini Joseph Nagu ambaye uteuzi wake umetenguliwa.
Kabla ya uteuzi huo, Dkt. Magembe alikuwa Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais TAMISEMI.

·13 Visualizações