Wabunge wa Marekani wamemtaka Rais wa Nchi hiyo J. Biden kutohufungia mtandao wa kijamii wa TikTok nchini humo ifikapo Jumapili na kutoa tahadhari juu ya mamillioni ya Wabunifu wa mtandao huo wanaweza kuathiriwa na kitendo hicho.
"Tunaomba iwepo njia ya kujaribu kusuluhisha suala hili kwa busara ili TikTok isijikute katika hali ngumu" amekaririwa akisema Seneta mmoja kutoka Democratic aitwaye Ed Markey
Hata hivyo Kiongozi wa Democratic katika Baraza la Seneti Chuck Schumer alizungumza na J. Biden na kumtaka kuongeza muda wa mwisho wa siku (90) kwa kampuni inayomiliki TikTok kutoka Nchini China ya ByteDance ili kuuza mali za TikTok kwa Mmarekani na kuzuia marufuku ya mtandao huo unaotumiwa na Wamarekani zaidi millioni (170).
Ikumbukwe kwamba ugomvi baina ya Nchi ya Marekani na Wamiliki wa TikTok ni kuwa TikTok ilikataa kutoa nafasi kwa Nchi ya Marekani kuingilia ubinafsi (Private) wa Watumiaji wa mtandao huo ambapo Nchi ya Marekani inadai kuwa mtandao huo unatumiwa na Nchi ya China kuingilia mambo ya ndani ya Marekani .
Ili mtandao huo wa TikTok uruhusiwe Nchini Marekani, Nchi hiyo ilitoa aina mbili za makubaliao. Mosi ni mtandao huo kukubali Nchi ya Marekani kuingia ndani ya mtandao ili ifahamu kinachoendelea au kukubali kuuza hisa (share) kwa Mmarekani.

Wabunge wa Marekani ๐บ๐ธ wamemtaka Rais wa Nchi hiyo J. Biden kutohufungia mtandao wa kijamii wa TikTok nchini humo ifikapo Jumapili na kutoa tahadhari juu ya mamillioni ya Wabunifu wa mtandao huo wanaweza kuathiriwa na kitendo hicho.

ยท33 Views