Atualizar para Plus

TikTok imeacha kufanya kazi nchini Marekani Jumamosi usiku na kutoweka kwenye programu za Apple na Google kabla ya kuanza kutekelezwa kwa sheria mpya siku ya Jumapili inayohitaji kufungwa kwa jukwaa hilo linalotumiwa na takriban Wamarekani milioni 170.

Rais mteule, Donald Trump, alitangaza kuwa kuna uwezekano mkubwa wa kutoa msamaha wa muda wa siku 90 kwa TikTok baada ya kuapishwa rasmi siku ya Jumatatu. Ahadi hiyo imetajwa na TikTok katika taarifa iliyotumwa kwa watumiaji wake kupitia programu hiyo.
TikTok imeacha kufanya kazi nchini Marekani Jumamosi usiku na kutoweka kwenye programu za Apple na Google kabla ya kuanza kutekelezwa kwa sheria mpya siku ya Jumapili inayohitaji kufungwa kwa jukwaa hilo linalotumiwa na takriban Wamarekani milioni 170. Rais mteule, Donald Trump, alitangaza kuwa kuna uwezekano mkubwa wa kutoa msamaha wa muda wa siku 90 kwa TikTok baada ya kuapishwa rasmi siku ya Jumatatu. Ahadi hiyo imetajwa na TikTok katika taarifa iliyotumwa kwa watumiaji wake kupitia programu hiyo.
·47 Visualizações