Mtandao wa TikTok umerejea na kurudisha huduma zake Nchini Marekani baada ya Rais Mteule Donald Trump kuruhusu mtandao huo kuendelea kufanya kazi Marekani.
TikTok ilikuwa imeacha kufanya kazi kwa Watumiaji wa Marekani kutokana na sheria iliyopiga marufuku app hiyo. Trump amesema atatafuta suluhisho la kuirudisha TikTok, ikiwemo uwezekano wa kushirikiana na kampuni za Marekani.

·24 Views