Upgrade to Pro

.*TUTUNZE HII MESEJI*

Kwa mujibu wa Kikokotoo cha CAF, Klabu ya Simba kwa sasa ina points 38 na kushika nafasi ya 6 kwa vilabu vya Afrika. Kama ataishia hatua hii ya robo fainali, basi msimu ujao ataanza na points 25.

Yanga kwa sasa ana points 34 na kushika nafasi ya 10 kwa vilabu vya Afrika. Msimu ujao ataanza na points 25.

NB; Simba akitaka kuendelea kuwa juu ya Yanga ni lazima ahakikishe anavuka hatua ya robo fainali, vinginevyo msimu ujao wataanza sawa na Yanga, na baada ya hapo Yanga ataanza kuchukua nafasi yake.
.*TUTUNZE HII MESEJI* Kwa mujibu wa Kikokotoo cha CAF, Klabu ya Simba kwa sasa ina points 38 na kushika nafasi ya 6 kwa vilabu vya Afrika. Kama ataishia hatua hii ya robo fainali, basi msimu ujao ataanza na points 25. Yanga kwa sasa ana points 34 na kushika nafasi ya 10 kwa vilabu vya Afrika. Msimu ujao ataanza na points 25. NB; Simba akitaka kuendelea kuwa juu ya Yanga ni lazima ahakikishe anavuka hatua ya robo fainali, vinginevyo msimu ujao wataanza sawa na Yanga, na baada ya hapo Yanga ataanza kuchukua nafasi yake.
Like
2
1 Commentarios ·91 Views