"Twende tukaionyeshe dunia kwamba sisi sio tu chama kikuu cha upinzani nchini, ni chama kinachoheshimiana, chama chenye nidhamu, chama chenye kutambua wajibu wake na chama ambacho kinajiandaa na kinajipanga kwenda kuongoza dola ya nchi. Tukawaoneshe kwamba chama hiki ni kikubwa kuliko tofauti zetu." - Freeman Mbowe, Mwenyekiti CHADEMA

·27 Ansichten