Kama unatumia mtandao unaona network ipo chini fanya haya mambo mawili iliuweze kuiboost
CHAKWANZA
.fungua panzia ya simu Yako Alafu washa " aeroplane mode " Kisha izime, Kisha Toka apo nenda sehemu ya kupiga simu Kisha bonyeza. "*# *#4636# *# *" itakupeleka kwenye testing utakutana na maneno matatu
"phone information"
"usage statistics"
"WI-FI information"
wewe utabonyeza wi-fi information, Kuna simu utakutana na step 3
"WI-FI API"
"WI-FI config"
*WI-FI STATUS"
Katika simu Yako ukikutana na izo step utabonyeza *WI-FI STATUS" Kisha utakutana na "Run ping test" na "Refresh stats" utabonyeza izo sehemu zote mbili, na Kuna baadhi ya simu itakupeleka Moja kwa Moja kwenye run ping test na Refresh stats, utaona mabadiliko katika network yako

⚙️CHAKWANZA
.fungua panzia ya simu Yako Alafu washa "✈️ aeroplane mode " Kisha izime, Kisha Toka apo nenda sehemu ya kupiga simu📞 Kisha bonyeza. "*# *#4636# *# *" itakupeleka kwenye testing utakutana na maneno matatu
"phone information"
"usage statistics"
"WI-FI information"
wewe utabonyeza wi-fi information, Kuna simu utakutana na step 3👇
"WI-FI API"
"WI-FI config"
*WI-FI STATUS"
Katika simu Yako ukikutana na izo step utabonyeza *WI-FI STATUS" Kisha utakutana na "Run ping test" na "Refresh stats" utabonyeza izo sehemu zote mbili, na Kuna baadhi ya simu itakupeleka Moja kwa Moja kwenye run ping test na Refresh stats, utaona mabadiliko katika network yako
·35 Visualizações