Mchezo wa Ligi Kuu kati ya wenyeji SIMBA SC dhidi ya AZAM FC “Mzizima Derby” umepagwa kufanyika Februari 24, mwaka huu kwenye Uwanja wa KMC Complex, saa 10:15 jioni.
.
Itakuwa ni mara ya kwanza mchezo Huu wa Mzizima Derby ndani ya Ligi Kuu ya NBC kupigwa katika uwanja wa KMC Complex.
#paulswai

🚨 Mchezo wa Ligi Kuu kati ya wenyeji SIMBA SC dhidi ya AZAM FC “Mzizima Derby” umepagwa kufanyika Februari 24, mwaka huu kwenye Uwanja wa KMC Complex, saa 10:15 jioni.