Upgrade to Pro


Simba imebadilika zaidi. Wanaweza kwenda hata fainali kama wakitaka. Wanacheza kwa kasi kubwa tofauti na msimu mmoja uliopita. Wachezaji wengi wapya wamekuwa muhimu katika kikosi cha Simba. Usajili wa safari hii haukukosewa sana na wachezaji wapya wamekuwa na mchango mkubwa.
.
Kocha Fadlu Davis naye amekuwa na mchango mkubwa ukiangalia namna timu inavyocheza unaona kabisa kuna kitu wanatafuta na kweli wanakipata. Mpira ni mchezo wa hadharani na sasa ni wakati wa kuwapongeza Simba kwa kurudisha makali” — Edo Kumwembe.

#paulswai
💬 Simba imebadilika zaidi. Wanaweza kwenda hata fainali kama wakitaka. Wanacheza kwa kasi kubwa tofauti na msimu mmoja uliopita. Wachezaji wengi wapya wamekuwa muhimu katika kikosi cha Simba. Usajili wa safari hii haukukosewa sana na wachezaji wapya wamekuwa na mchango mkubwa. . Kocha Fadlu Davis naye amekuwa na mchango mkubwa ukiangalia namna timu inavyocheza unaona kabisa kuna kitu wanatafuta na kweli wanakipata. Mpira ni mchezo wa hadharani na sasa ni wakati wa kuwapongeza Simba kwa kurudisha makali” — Edo Kumwembe. #paulswai
Like
Love
4
·72 Views