Rais wa Marekani , Donald Trump alienda kwenye Kanisa moja Anglican Nchini humo linalofahamika kama Episcopal Church, alienda kwa dhumuni la Ibada ya kushukuru ila alipofika Askofu wa Kanisa hilo Bi Marrian Edgar Budde kwenye hotuba yake akasema manano yafuatayo:
“Rais Trump tunakuomba kwa jina la Mungu uwe na huruma kwa Watu wa Mapenzi ya Jinsia moja na Wahamiaju haramu, wanaogopa sana” akamaliza Askofu huyo.
Rais Trump hakuridhishwa na hotuba hiyo na wakati anaondoka akasema maneno yafuatayo:
“Haikuwa hotuba nzuri, haivutii, inachafua taswira ya Kanisa lake au ninyi Waandishi mnaona inavutia, binafsi sikuipenda, haivutii na ni kweli haivutii haina maana” - Donald Trump, Rais wa Marekani .
Msimamo wa Trump dhidi ya Mapenzi ya Jinsia moja ni mkali saaana.

Rais wa Marekani 🇺🇸, Donald Trump alienda kwenye Kanisa moja Anglican Nchini humo linalofahamika kama Episcopal Church, alienda kwa dhumuni la Ibada ya kushukuru ila alipofika Askofu wa Kanisa hilo Bi Marrian Edgar Budde kwenye hotuba yake akasema manano yafuatayo:
“Rais Trump tunakuomba kwa jina la Mungu uwe na huruma kwa Watu wa Mapenzi ya Jinsia moja na Wahamiaju haramu, wanaogopa sana” akamaliza Askofu huyo.
Rais Trump hakuridhishwa na hotuba hiyo na wakati anaondoka akasema maneno yafuatayo:
“Haikuwa hotuba nzuri, haivutii, inachafua taswira ya Kanisa lake au ninyi Waandishi mnaona inavutia, binafsi sikuipenda, haivutii na ni kweli haivutii haina maana” - Donald Trump, Rais wa Marekani 🇺🇸.
Msimamo wa Trump dhidi ya Mapenzi ya Jinsia moja ni mkali saaana.
·35 Visualizações