Upgrade to Pro

Klabu ya Simba SC imewaombea uraia wa Tanzania wachezaji wake tisa (9) ambao sio raia wa Tanzania. Simba SC imemuandikia Kamishina Jenerali wa Uhamiaji barua leo tarehe 23 Januari 2025, barua ambayo imesainiwa na Mwenyekiti wa kkabu Murtaza Ally Mangungu.

Maombi haya ya klabu ya Simba SC yamekuja siku moja baada ya taarifa kuzagaa kwenye mitandao ya kijamii ikiihusisha Wachezaji wanne (4) wa klabu ya Singida Black Stars kupata uraia wa Tanzania hali iliyozua mijadala mikubwa mitandaoni kuanzia jana jioni mpaka leo.

Simba imesajili Wachezaji (12) wa kigeni kama kanuni za Ligi Kuu bara inavyotaka lakini wanaomba kati ya hao (12) inawaombea tisa (9) uraia wa Tanzania.

Klabu ya Simba SC imewaombea uraia wa Tanzania wachezaji wake tisa (9) ambao sio raia wa Tanzania. Simba SC imemuandikia Kamishina Jenerali wa Uhamiaji barua leo tarehe 23 Januari 2025, barua ambayo imesainiwa na Mwenyekiti wa kkabu Murtaza Ally Mangungu. Maombi haya ya klabu ya Simba SC yamekuja siku moja baada ya taarifa kuzagaa kwenye mitandao ya kijamii ikiihusisha Wachezaji wanne (4) wa klabu ya Singida Black Stars kupata uraia wa Tanzania hali iliyozua mijadala mikubwa mitandaoni kuanzia jana jioni mpaka leo. Simba imesajili Wachezaji (12) wa kigeni kama kanuni za Ligi Kuu bara inavyotaka lakini wanaomba kati ya hao (12) inawaombea tisa (9) uraia wa Tanzania.
Love
1
·32 Views