"Mbona Yule Rasta wenu alipewa Uraia akiwa mvunja Kuni Tu na Hatukuona Maandiko mengi kama Leo?

Ni Wivu Tu unawasumbua Makolo

Kupenda Kukurupuka na Uvivu wa kufikiri ndo kumewafanya mjidhalilishe kwa Kuandika Barua ya Hovyo Uhamiaji mkiwaombea Wageni Uraia kama mnaomba Rejesho la Vicoba

Punguzeni Kiherehere. Wenye Mamlaka wanajua wanachokifanya

Kama Shida Yenu ni kutaka kukwepa Hela Ya Vibali vya Kuishi Pitisheni Tu Bakuli kama kawaida Yenu na sio kutaka Kulazimisha Kitale awe Mtanzania ..

Nchi Yetu haina Asili ya kuwa na Watoto wenye uwaraza ..

Mkome." - Ally Kamwe, Msemaji wa klabu ya Yanga SC.

"Mbona Yule Rasta wenu alipewa Uraia akiwa mvunja Kuni Tu na Hatukuona Maandiko mengi kama Leo? Ni Wivu Tu unawasumbua Makolo Kupenda Kukurupuka na Uvivu wa kufikiri ndo kumewafanya mjidhalilishe kwa Kuandika Barua ya Hovyo Uhamiaji mkiwaombea Wageni Uraia kama mnaomba Rejesho la Vicoba Punguzeni Kiherehere. Wenye Mamlaka wanajua wanachokifanya Kama Shida Yenu ni kutaka kukwepa Hela Ya Vibali vya Kuishi Pitisheni Tu Bakuli kama kawaida Yenu na sio kutaka Kulazimisha Kitale awe Mtanzania .. Nchi Yetu haina Asili ya kuwa na Watoto wenye uwaraza .. Mkome." - Ally Kamwe, Msemaji wa klabu ya Yanga SC.
Like
1
· 0 Commentarios ·0 Acciones ·31 Views