Ahmed Ally

MAZUNGUMZO YA URAIA

Mpanzu : Mimi nitakua Mpogoro

Ahoua : Mimi mdigo

Mpanzu : Au niwe Mgogo

Ahoua : Basi mie nitakua mzigua

Kibu : Wewe mbona makabila yako ya Tanga tuu

Ahoua : Napenda kuwa karibu na bahari

Mpanzu : Kibu nishauri mimi niwe kabila gani

Kibu : Kuwa Muha

Mpanzu : Muha hapana nikienda Kigoma napata hisia za Congo

Kibu : Basi Mnyakyusa

Mpanzu : Aaah niwe Mwaisa saafi sana ushauri mzuri huo nitakua naitwa Elia Mwampanzu

Ahoua : Jamani Mimi bado sijapata kabila

Kibu: Chukua Mrangi

Ahoua : Kabila gani wanasema Ubaya Ubwela

Kibu : Wazaramo

Ahoua : Hilo ndio kabila langu sasa, na jina langu John Chale Kambi

Ahmed Ally ✍️ MAZUNGUMZO YA URAIA Mpanzu : Mimi nitakua Mpogoro Ahoua : Mimi mdigo Mpanzu : Au niwe Mgogo Ahoua : Basi mie nitakua mzigua Kibu : Wewe mbona makabila yako ya Tanga tuu Ahoua : Napenda kuwa karibu na bahari Mpanzu : Kibu nishauri mimi niwe kabila gani Kibu : Kuwa Muha Mpanzu : Muha hapana nikienda Kigoma napata hisia za Congo Kibu : Basi Mnyakyusa Mpanzu : Aaah niwe Mwaisa saafi sana ushauri mzuri huo nitakua naitwa Elia Mwampanzu Ahoua : Jamani Mimi bado sijapata kabila Kibu: Chukua Mrangi Ahoua : Kabila gani wanasema Ubaya Ubwela Kibu : Wazaramo Ahoua : Hilo ndio kabila langu sasa, na jina langu John Chale Kambi
Like
Love
3
· 0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·38 Visualizações