Kwa faida ya wengi ambao wanahoji kuhusu Kibu Denis na Uraia, ikawaje picha akacheza timu ya Taifa na FIFA wakapitisha, mkapitie kwenye website ya FIFA kuhusu “Guide to submitting a request for eligibility or change of association “
Hapo FIFA wana mambo mawili kubadili Mashirikisho ama kuomba uhalali wa kucheza timu ya taifa, mfano Pacome akitaka kucheza Tanzania anaangukia kigezo cha kubadili Mashirikisho (Change of association) ila KIBU wakati anataka kucheza Tanzania, tuliomba uhalali ambapo tukaangukia kigezo cha “Request for eligibility “ kwakuwa Kibu ni Mkimbizi na hakuwa Raia wa Congo na hata angekuwa Raia bado ni rahisi kwakuwa ana haki ya Ukimbizi FIFA wanaitambua.
Sasa FIFA kwenye eneo hilo kwa mujibu wa RGAS, kifungu cha saba (7) ambapo KIBU kukimbilia Tanzania haikuwa kwasababu za Kimpira bali kusaka Hifadhi hivyo ilihitajika cheti chake cha Ukimbizi na sababu za Kibinadamu, hiyo haina mlolongo wowote mrefu, anakidhi vigezo kwa haraka na anatwanga timu ya Taifa.
Hivyo KIBU ni kesi tofauti na hii ya Wachezaji wa Singida.
(Farhan JR)

0 Comments
·0 Shares
·31 Views