Kwa mujibu wa Sheria , kanuni na utaratibu wa Shirikisho la mpira wa miguu Duniani (FIFA), Mchezaji anaruhusiwa kucheza Taifa ya Nchi husika (Tanzania) endapo atakuwa na vigezo vifuatavyo:

- Amezaliwa Tanzania
- Baba yake au Mama yake amezaliwa Tanzania
- Babu yake au Bibi yake amezaliwa Tanzania
- Ameishi Tanzania angalau miaka mitatu (3) Kabla hajafikisha miaka kumi (10)

- Ameishi Tanzania akiwa na umri kati ya miaka 10-18 kwa angalau miaka mitano (5). Na kama ni kuanzia miaka (18) nayo ni miaka mitano (5)

- Mchezaji lazima atoe ushahidi Kwamba sababu ambazo zimemfanya aje Tanzania sio za kimpira.

Kwa mujibu wa Sheria , kanuni na utaratibu wa Shirikisho la mpira wa miguu Duniani (FIFA), Mchezaji anaruhusiwa kucheza Taifa ya Nchi husika (Tanzania) endapo atakuwa na vigezo vifuatavyo: - Amezaliwa Tanzania - Baba yake au Mama yake amezaliwa Tanzania - Babu yake au Bibi yake amezaliwa Tanzania - Ameishi Tanzania angalau miaka mitatu (3) Kabla hajafikisha miaka kumi (10) - Ameishi Tanzania akiwa na umri kati ya miaka 10-18 kwa angalau miaka mitano (5). Na kama ni kuanzia miaka (18) nayo ni miaka mitano (5) - Mchezaji lazima atoe ushahidi Kwamba sababu ambazo zimemfanya aje Tanzania sio za kimpira.
Like
1
· 1 Comments ·0 Shares ·53 Views