"Ndoa na talaka imekuwa biashara kubwa kwa Wanawake Nchini Marekani, haimaanishi ukiolewa na Tajiri ndio uondoke na mali zake punde mkiachana. Nataka niikomeshe tabia hii kwamba mkiachana kuna kiasi tu itabidi upewe na hakuna sababu ya kusema ni kidogo kwakuwa hukuhangaikia, kama unahisi huwezi kuwalea watoto basi niachie Mimi niwalee" - Donald Trump, Rais wa Marekani .
"Ndoa na talaka imekuwa biashara kubwa kwa Wanawake Nchini Marekani, haimaanishi ukiolewa na Tajiri ndio uondoke na mali zake punde mkiachana. Nataka niikomeshe tabia hii kwamba mkiachana kuna kiasi tu itabidi upewe na hakuna sababu ya kusema ni kidogo kwakuwa hukuhangaikia, kama unahisi huwezi kuwalea watoto basi niachie Mimi niwalee" - Donald Trump, Rais wa Marekani 🇺🇸.