Mtandao wa Threads unaomilikiwa na META (Facebook, Instagram, WhatsApp, ...) ambao ni mshindani wa X(Twitter) umefanya mabadiliko kwenye Wasifu (profile) wa Watumiaji wake. Kwa sasa Threads imefika Watumiaji zaidi ya milioni (300) kwa mwezi.

Threads imeongeza "tab" mpya ya “Media” ambayo itakuwa ni maalum kwa kuona picha na video ambazo zimepostiwa na akaunti. Pia Threas imeanza kuweka mfumo wa matangazo kwa baadhi ya Watumiaji na mabadiliko haya yameanza kwa Watumiaji wa Nchini Marekani na Japan .

Mtandao wa Threads unaomilikiwa na META (Facebook, Instagram, WhatsApp, ...) ambao ni mshindani wa X(Twitter) umefanya mabadiliko kwenye Wasifu (profile) wa Watumiaji wake. Kwa sasa Threads imefika Watumiaji zaidi ya milioni (300) kwa mwezi. Threads imeongeza "tab" mpya ya “Media” ambayo itakuwa ni maalum kwa kuona picha na video ambazo zimepostiwa na akaunti. Pia Threas imeanza kuweka mfumo wa matangazo kwa baadhi ya Watumiaji na mabadiliko haya yameanza kwa Watumiaji wa Nchini Marekani 🇺🇸 na Japan 🇯🇵.
Like
2
· 0 Comments ·0 Shares ·43 Views