Mkusanyiko wa Corneil Nangaa ambaye ni Kiongozi la Waasi wa M23, ulishambuliwa na Vikosi vya Jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (FARDC) wakati alikuwa akijiandaa kufanya mkutano kwenye Uwanja wa michezo huko Mjini Goma.
Kulingana na taarifa zinazoendelea kuripotiwa, Chigoro Ntawirigabo, Kiongozi wa Operesheni za Rwanda ndani ya kundi la M23, inasemekana pia kupoteza maisha pamoja na kundi lake lote kufuatia Operesheni iliyofanywa na FARDC.
Read more

0 Comments
·0 Shares
·199 Views