Baada ya Rais wa Marekani , Donald Trump kusaini amri ya Marekani kujitoa Shirika la afya Duniani (WHO) sanjari na kusitisha ufadhili wa kifedha kwa Mashirika yote ya kiafya Duniani kote ikiwemo yale ya kupambana na ukimwi kwa siku 90.

Rais huyo amesema katika kipindi hicho cha mpito serikali yake itafanya tathimini ya kuona ushiriki wake na ufadhili kama unaenda sahihi na mataifa mengine au Marekani imesusiwa mzigo mkubwa peke yake wa kuhudumia Dunia. Marekani ndio mchangiaji mkubwa zaidi kwenye Mashirika hayo ya afya ikiwemo (WHO), ambapo Marekani inachangia takribani dola bilioni moja (1) huku Nchi ya China ikichangia dola milioni (86) pekee kitu ambacho Donald Trump amesema sio sahihi.

Tayari Mashirika yanayofadhiliwa na Marekani likiwemo la USAID yamepokea waraka wa agizo la Donald Trump na kuagizwa kuanza utekelezaji Duniani kote.

Baada ya Rais wa Marekani 🇺🇸, Donald Trump kusaini amri ya Marekani kujitoa Shirika la afya Duniani (WHO) sanjari na kusitisha ufadhili wa kifedha kwa Mashirika yote ya kiafya Duniani kote ikiwemo yale ya kupambana na ukimwi kwa siku 90. Rais huyo amesema katika kipindi hicho cha mpito serikali yake itafanya tathimini ya kuona ushiriki wake na ufadhili kama unaenda sahihi na mataifa mengine au Marekani imesusiwa mzigo mkubwa peke yake wa kuhudumia Dunia. Marekani ndio mchangiaji mkubwa zaidi kwenye Mashirika hayo ya afya ikiwemo (WHO), ambapo Marekani inachangia takribani dola bilioni moja (1) huku Nchi ya China ikichangia dola milioni (86) pekee kitu ambacho Donald Trump amesema sio sahihi. Tayari Mashirika yanayofadhiliwa na Marekani likiwemo la USAID yamepokea waraka wa agizo la Donald Trump na kuagizwa kuanza utekelezaji Duniani kote.
Like
1
· 0 التعليقات ·0 المشاركات ·94 مشاهدة