Baada ya kuripotiwa kuwa zaidi ya Watanzania mia tatu (300) wamerudishwa Nchini Tanzania kufuatia agizo la Rais wa Marekani , Donald Trump la kuwaondoa Watu wanaoishi Nchini Marekani kinyume cha sheria, Mange Kimambi ameibuka na kusema hayo:
"Naomba niwaambie ndugu zangu kwa mara ya mwisho na nisione ten comments za issue hii. Ni hivi mimi sitokaa nirudishwe Tanzania… Yani hiyo kitu ifuteni kabisa. Haipoooo.
.Huyo jamaa aliekatwa kwenye hii picha hawezi kubali nirudishwe kwa kimama hata siku moja Atapambana na serikali yake juu chini hadi waniache . Alafu hata hatohitaji kupambana maana huyo ni supporter wa Trump, kipindi cha uchaguzi kidogo tupeane talaka maana mimi Trump sijawahi kumwelewa…Huyo jamaa aliekatwa kwenye picha barua moja tu au simu moja tu wanamwachia mpare wake….. … Siwezi guswa na mtu mimi.- Mange kimambi, Mwanaharakati (Mtanzania) aishiye Nchini Marekani .

Baada ya kuripotiwa kuwa zaidi ya Watanzania mia tatu (300) wamerudishwa Nchini Tanzania 🇹🇿 kufuatia agizo la Rais wa Marekani 🇺🇸, Donald Trump la kuwaondoa Watu wanaoishi Nchini Marekani kinyume cha sheria, Mange Kimambi ameibuka na kusema hayo:
"Naomba niwaambie ndugu zangu kwa mara ya mwisho na nisione ten comments za issue hii. Ni hivi mimi sitokaa nirudishwe Tanzania… Yani hiyo kitu ifuteni kabisa. Haipoooo.
.Huyo jamaa aliekatwa kwenye hii picha hawezi kubali nirudishwe kwa kimama hata siku moja 🤣🤣🤣Atapambana na serikali yake juu chini hadi waniache 🤣🤣🤣🤣🤣. Alafu hata hatohitaji kupambana maana huyo ni supporter wa Trump, kipindi cha uchaguzi kidogo tupeane talaka maana mimi Trump sijawahi kumwelewa…Huyo jamaa aliekatwa kwenye picha barua moja tu au simu moja tu wanamwachia mpare wake….. 🤣🤣🤣🤣🤣… Siwezi guswa na mtu mimi.- Mange kimambi, Mwanaharakati (Mtanzania) aishiye Nchini Marekani 🇺🇸.
0 Yorumlar
·0 hisse senetleri
·115 Views