Read more
Mwanamitindo maarufu duniani, video vixen na mtangazaji wa TV Amber Rose ameishangaza dunia baada ya kusema alilia kwa muda wa miaka 3 baada ya kuachana na aliekua mumewe Hit Maker wa Black & Yellow rapa Wiz Khalifa. Katika mahojiano alioyafanya na Podcast ya No Jumper Amber amesema " Pindi Wiz Khalifa aliponiacha nililia kwa miaka mitatu mfululizo. Nampenda sana na ananiwezea vizuri kitandani. " Najua nimedate wanaume zaidi ya 50 lakini Wiz Khalifa alikua ndio kipenzi cha maisha yangu. Wiki 3 za mwanzo, nililia kama mtoto, nilikua nakaa bafuni afu najisemea, F**k Hapa tunazungumzia siku 1096 ndizo Amber Rose anadai alilia baada ya kuachana na Wiz Khalifa 🤔
Like
Love
2
· 0 Comments ·0 Shares ·389 Views