Rais wa Marekani , Donald Trump amesema mgogoro kati ya Rwanda na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo ni mkubwa sana. Trump ameyasema hayo jana Januari 30, 2025 akijibu swali la Mwandishi aliyemuuliza kuhusu kinachoendelea baina ya Rwanda na DR Congo, wakati wa mkutano na Waandishi wa habari kuhusu ajali ya Ndege iliyotokea Mjini Washington.

"Unaniuliza swali kuhusu Rwanda, ni tatizo kubwa sana, nakubali, lakini sidhani kama inafaa kwa sasa kulizungumzia. Lakini ni tatizo kubwa sana," amesema Donald Trump.

Rais wa Marekani ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ, Donald Trump amesema mgogoro kati ya Rwanda na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฉ ni mkubwa sana. Trump ameyasema hayo jana Januari 30, 2025 akijibu swali la Mwandishi aliyemuuliza kuhusu kinachoendelea baina ya Rwanda na DR Congo, wakati wa mkutano na Waandishi wa habari kuhusu ajali ya Ndege iliyotokea Mjini Washington. "Unaniuliza swali kuhusu Rwanda, ni tatizo kubwa sana, nakubali, lakini sidhani kama inafaa kwa sasa kulizungumzia. Lakini ni tatizo kubwa sana," amesema Donald Trump.
0 Reacties ยท0 aandelen ยท284 Views