Mkutano wa dharura wa Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC) umesema lengo la Wanachama wa Jumuiya hiyo ni kuona amani inarejea mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo .
Kauli hiyo imetolewa na Rais wa Zimbabwe , Emmerson Mnangagwa ambaye ni Mwenyekiti wa SADC wakati wa mkutano wa dharura wa Jumuiya hiyo ulioitishwa Jijini Harare, Zimbabwe kwa lengo la kujadili kutetereka kwa amani Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.
Hali ya usalama ilianza kuyumba Nchini Kongo baada ya kundi la Waasi wa M23 kuanza uvamizi na kuyashikilia maeneo ya mashariki mwa Kongo ikiwemo Mji wa Goma. Kwa mujibu wa Mnangagwa, suala la ulinzi wa Raia Nchini humo si la hiari, bali la kisheria kwa mujibu wa makubaliano yaliyosainiwa na Nchi Wanachama wa SADC.
“Ni kwa bahati mbaya nasema kwamba tangu mkutano wetu wa mwisho hali ya amani imetetereka nchini DRC. Mashambulizi ya M23 yamegharimu maisha ya wanajeshi wetu wanaolinda amani DRC chini ya SAMIDRC na kuwaacha wengine wakiwa wamejeruhiwa vibaya,” - Mnangagwa.
Amempongeza Rais wa Tanzania , Samia Suluhu Hassan kwa kuchukua hatua za haraka za kuitisha mkutano wa dharura na Wakuu wa Nchi na Serikali kupitia Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC-Troika).

Mkutano wa dharura wa Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC) umesema lengo la Wanachama wa Jumuiya hiyo ni kuona amani inarejea mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo 🇨🇩.
Kauli hiyo imetolewa na Rais wa Zimbabwe 🇿🇼, Emmerson Mnangagwa ambaye ni Mwenyekiti wa SADC wakati wa mkutano wa dharura wa Jumuiya hiyo ulioitishwa Jijini Harare, Zimbabwe kwa lengo la kujadili kutetereka kwa amani Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.
Hali ya usalama ilianza kuyumba Nchini Kongo baada ya kundi la Waasi wa M23 kuanza uvamizi na kuyashikilia maeneo ya mashariki mwa Kongo ikiwemo Mji wa Goma. Kwa mujibu wa Mnangagwa, suala la ulinzi wa Raia Nchini humo si la hiari, bali la kisheria kwa mujibu wa makubaliano yaliyosainiwa na Nchi Wanachama wa SADC.
“Ni kwa bahati mbaya nasema kwamba tangu mkutano wetu wa mwisho hali ya amani imetetereka nchini DRC. Mashambulizi ya M23 yamegharimu maisha ya wanajeshi wetu wanaolinda amani DRC chini ya SAMIDRC na kuwaacha wengine wakiwa wamejeruhiwa vibaya,” - Mnangagwa.
Amempongeza Rais wa Tanzania 🇹🇿, Samia Suluhu Hassan kwa kuchukua hatua za haraka za kuitisha mkutano wa dharura na Wakuu wa Nchi na Serikali kupitia Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC-Troika).
0 Commenti
·0 condivisioni
·60 Views