"Naona jinsi Media mnatumia nguvu kubwa sana kupotosha watu kwa kila jambo lililofanyika na kwasasa sisemi kitu basi kila mtu anaandika lolote analojisikia ili afuatiliwe na watu. Binafsi upande mnaousimamia ninaujua na ndio sababu sikuongea kupitia media yoyote ile"

"Naujua mfumo uliopo na kilichofanyika kimefanyika, na hata muandike mabaya kiasi gani kusudi la Mungu bado litasimama. Kwenye zile interviews sina la kuongeza nilishamaliza kila kitu"- Goodluck Gozbert, Msanii wa muziki wa Injili Tanzania.
"Naona jinsi Media mnatumia nguvu kubwa sana kupotosha watu kwa kila jambo lililofanyika na kwasasa sisemi kitu basi kila mtu anaandika lolote analojisikia ili afuatiliwe na watu. Binafsi upande mnaousimamia ninaujua na ndio sababu sikuongea kupitia media yoyote ile" "Naujua mfumo uliopo na kilichofanyika kimefanyika, na hata muandike mabaya kiasi gani kusudi la Mungu bado litasimama. Kwenye zile interviews sina la kuongeza nilishamaliza kila kitu"- Goodluck Gozbert, Msanii wa muziki wa Injili Tanzania.
Like
1
· 0 Commentarii ·0 Distribuiri ·292 Views