Ukisikia madai ya Rwanda kuvuruga amani ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo ukarudi kuangalia ramani na takwimu za mataifa hayo hakika utaamini ukubwa wa pua sio wingi wa kamasi. Kitakwimu Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imeizidi Rwanda kila kitu ikiwemo ukubwa wa eneo, rasilimali, madini pamoja na idadi ya Watu.
Eneo la Congo ni karibu mara mia (100) ya eneo la Rwanda. Idadi ya Watu wa Kongo ni takribani mara 10 Watu wa Rwanda. Pamoja na hayo yote Congo wanalalamika kwamba Rwanda ndio inayounga mkono makundi ya waasi mashariki mwa nchi hiyo ambayo yamelemea majeshi ya serikali na kusonga mbele kiasi cha kutwaa miji mikubwa ya kimkakati yenye utajiri mkubwa wa madini.
Rwanda pamoja na kuzidiwa takwimu hizo ila mipango thabiti na uwekezaji wa kimkakati katika masuala ya kijeshi, ulinzi na usalama katika eneo hilo ndio umeifanya ionekane kama ndio taifa kubwa. Yaani kiufupi ukiwa hujui ramani na takwimu unaweza kudhani Rwanda ndio taifa kubwa ndio maana inalalamikiwa kuionea Kongo. Kiufupi Rwanda inanufaika mno na mipango thabiti ya kiuongozi, wakati Kongo ikiwa na uongozi usio na mipango thabiti ya kikanda na kimkakati kulinda mipaka yake na majimbo ya Mashariki yenye utajiri mkubwa wa madini
Rwanda ina idadi kubwa ya Watutsi ambao pia wanapatikana Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na wachache Burundi na Uganda. Historia ya watutsi inasemekana walitokea Ethiopia kuja maziwa makuu na sifa yao kuu wanapenda uongozi (kwa mnaowajua mtakua mashahidi). Jamii ya watutsi ni watu ambao huwa hawapendi unyonge wala kuonewa, ni wepesi kujitetea na huwa wanaumoja sana.
Baada ya Wakoloni kugawa mipaka ndio walisababisha watutsi kujikuta ndani ya nchi nyingi tofauti ila ni wazawa wa maeneo hayo na historia yao katika nchi hizo ni toka zama za kale hivyo ni ngumu kuwaita Wahamiaji. Watutsi ndio waliomsaidia Hayati Laurent Kabila kumpindua Mobutu Seseseko na inasemekana Mama mzazi wa Joseph Kabila alikua Mtutsi pia. Kimsingi Kongo haikupaswa kuilalamikia Rwanda, bali Rwanda ndio ingepaswa kuilalamikia Kongo.

Ukisikia madai ya Rwanda 🇷🇼 kuvuruga amani ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo 🇨🇩 ukarudi kuangalia ramani na takwimu za mataifa hayo hakika utaamini ukubwa wa pua sio wingi wa kamasi. Kitakwimu Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imeizidi Rwanda kila kitu ikiwemo ukubwa wa eneo, rasilimali, madini pamoja na idadi ya Watu.