Raisi wa Rwanda , Paul Kagame ameipongeza klabu ya Arsenal FC baada ya ushindi wake dhidi ya klabu ya Manchester City wa mabao matano kwa moja (5-1).

NB : Hawa ni baadhi ya Viongozi na Watu maarufu wanaopenda klabu ya Arsenal FC.

- Paul Kagame
- Aliko Dangote
- Malkia Elisabeth (Marehemu)
- Osama Bin Laden (Marehemu)
Etc...

Raisi wa Rwanda ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡ผ, Paul Kagame ameipongeza klabu ya Arsenal FC baada ya ushindi wake dhidi ya klabu ya Manchester City wa mabao matano kwa moja (5-1). NB : Hawa ni baadhi ya Viongozi na Watu maarufu wanaopenda klabu ya Arsenal FC. - Paul Kagame - Aliko Dangote - Malkia Elisabeth (Marehemu) - Osama Bin Laden (Marehemu) Etc...
Like
Love
2
ยท 0 Comments ยท0 Shares ยท25 Views