"Leo Asilimia 90 ya mijadala iliyofanywa kwenye vipindi vya Michezo, Wachambuzi wamejadili kuhusu Makosa ya Waamuzi kwenye mechi ya Kolo.

Na leo sio mara ya kwanza, Huu ni muendelezo. Ni kama Mechi ya 10 Mfululizo, Kila mechi ya Kolo huwa na Mijadala redioni kuhusu Makosa ya Waamuzi yanayowanufaisha KOLO kupata Ushindi

Mara wapinzani wanayimwa Magoli Halali, Mara mjadala wa Kolo akifunga Magoli ya Offside na waamuzi wanayakubali. Tumesikia pia Mijadala ya Penalti nyingi za mchongo zikiwanufaisha Makolo.

This is Is Too Much .. Na inatupa Wasiwasi kama Haya Yanayotokea, huwa yanatokea kwa Bahati mbaya kwa kichaka cha ‘Makosa ya Kibinadamu’

Tafadhali, Wenye Mamlaka naamini mnaona na kusikia yanayojadiliwa kuhusu Mpira wetu.

Hii mijadala inayoendelea sasa kwenye Media, Sio tu kwamba inapunguza ladha ya mpira wetu, Bali inatia Doa nguvu kubwa mnayoifanya kuhakikisha Mpira wetu unapanda na unakuwa na mvuto Afrika.

Tafadhali sana .. Tunahitaji kusikia sauti zenu wenye Mamlaka juu ya hiki kinachoendelea kwa sasa.

Haiwezekani Timu moja tu iwe na Matukio ya Utata kwenye Mechi zaidi ya 10" - Ally Kamwe, Msemaji wa klabu ya Yanga SC.

"Leo Asilimia 90 ya mijadala iliyofanywa kwenye vipindi vya Michezo, Wachambuzi wamejadili kuhusu Makosa ya Waamuzi kwenye mechi ya Kolo. Na leo sio mara ya kwanza, Huu ni muendelezo. Ni kama Mechi ya 10 Mfululizo, Kila mechi ya Kolo huwa na Mijadala redioni kuhusu Makosa ya Waamuzi yanayowanufaisha KOLO kupata Ushindi Mara wapinzani wanayimwa Magoli Halali, Mara mjadala wa Kolo akifunga Magoli ya Offside na waamuzi wanayakubali. Tumesikia pia Mijadala ya Penalti nyingi za mchongo zikiwanufaisha Makolo. This is Is Too Much .. Na inatupa Wasiwasi kama Haya Yanayotokea, huwa yanatokea kwa Bahati mbaya kwa kichaka cha ‘Makosa ya Kibinadamu’ Tafadhali, Wenye Mamlaka naamini mnaona na kusikia yanayojadiliwa kuhusu Mpira wetu. Hii mijadala inayoendelea sasa kwenye Media, Sio tu kwamba inapunguza ladha ya mpira wetu, Bali inatia Doa nguvu kubwa mnayoifanya kuhakikisha Mpira wetu unapanda na unakuwa na mvuto Afrika. Tafadhali sana .. Tunahitaji kusikia sauti zenu wenye Mamlaka juu ya hiki kinachoendelea kwa sasa. Haiwezekani Timu moja tu iwe na Matukio ya Utata kwenye Mechi zaidi ya 10" - Ally Kamwe, Msemaji wa klabu ya Yanga SC.
Like
1
· 0 Commenti ·0 condivisioni ·238 Views