Rais Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo , Felix Tshisekedi na Paul Kagame wa Rwanda, wanatarajia kukutana Jijini Dar es Salaam, Tanzania, Februari 8, 2025 kujadili mustakabali wa hali ya usalama inayoendelea eneo la Mashariki mwa DR Congo.

Taarifa iliyotolewa na Rais wa Kenya, William Ruto, wawili hao watakutana katika mkutano wa pamoja wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) na Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), baada ya Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania kuridhia Nchi yake ya Tanzania kuwa mwenyeji wa mkutano huo.

Rais Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฉ, Felix Tshisekedi na Paul Kagame wa Rwanda, wanatarajia kukutana Jijini Dar es Salaam, Tanzania, Februari 8, 2025 kujadili mustakabali wa hali ya usalama inayoendelea eneo la Mashariki mwa DR Congo. Taarifa iliyotolewa na Rais wa Kenya, William Ruto, wawili hao watakutana katika mkutano wa pamoja wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) na Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), baada ya Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania kuridhia Nchi yake ya Tanzania kuwa mwenyeji wa mkutano huo.
Like
2
ยท 0 Comments ยท0 Shares ยท273 Views