Rais Kagame anasema Rais Tshisekedi anataka kuivamia Rwanda na kupindua serikali yake!!! Na Rais Tshisekedi anasema Rais Kagame ameivamia Congo na lengo ni kuipindua serikali yake, kupitia vikundi vya waasi ikiwemo M23!

Umeelewa nini ?
Serikali ya Rwanda inashutumu muungano wa vikosi vya kimataifa vinavyopigana mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, serikali ya DR Congo na wapiganaji wa FDLR, kwa kujiandaa kuvamia ardhi yake.

Taarifa iliyotolewa na Wizara ya Uhusiano wa Kimataifa ya Rwanda imesema kwamba uchunguzi uliofanywa baada ya M23 kuchukua mji wa Goma ulionyesha kuwa lengo la vikosi vya waasi "halikuwa tu kupigana na M23, lakini pia ni pamoja na kushambulia Rwanda ".
(Zungu)

Rais Kagame anasema Rais Tshisekedi anataka kuivamia Rwanda na kupindua serikali yake!!! Na Rais Tshisekedi anasema Rais Kagame ameivamia Congo na lengo ni kuipindua serikali yake, kupitia vikundi vya waasi ikiwemo M23! Umeelewa nini ? Serikali ya Rwanda inashutumu muungano wa vikosi vya kimataifa vinavyopigana mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, serikali ya DR Congo na wapiganaji wa FDLR, kwa kujiandaa kuvamia ardhi yake. Taarifa iliyotolewa na Wizara ya Uhusiano wa Kimataifa ya Rwanda imesema kwamba uchunguzi uliofanywa baada ya M23 kuchukua mji wa Goma ulionyesha kuwa lengo la vikosi vya waasi "halikuwa tu kupigana na M23, lakini pia ni pamoja na kushambulia Rwanda ". (Zungu)
Like
2
· 0 Commentarii ·0 Distribuiri ·165 Views