饾悘饾悜饾悇饾悞饾悞

"Kesho tutakabiliana na timu ambayo imepata wachezaji wapya wengi. Pia Kocha wao ana mtindo wake wa kucheza, na itakuwa mechi ngumu kwa sababu hatujui jinsi wanavyocheza na wachezaji wapya wote kwenye timu. Lakini huenda, kama tulivyokabiliana na wapinzani wa mwisho, watacheza kwa kujilinda zaidi. Hiyo inamaanisha tunapaswa kutafuta nafasi na mianya ili tuweze kupata matokeo" Sead Ramovic

#timuyawananchi
#daimambelenyumamwiko
饾悘饾悜饾悇饾悞饾悞馃挰 "Kesho tutakabiliana na timu ambayo imepata wachezaji wapya wengi. Pia Kocha wao ana mtindo wake wa kucheza, na itakuwa mechi ngumu kwa sababu hatujui jinsi wanavyocheza na wachezaji wapya wote kwenye timu. Lakini huenda, kama tulivyokabiliana na wapinzani wa mwisho, watacheza kwa kujilinda zaidi. Hiyo inamaanisha tunapaswa kutafuta nafasi na mianya ili tuweze kupata matokeo" Sead Ramovic #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko
Like
1
0 Commentarios 0 Acciones 266 Views