šš‘š„š’š’

"Jonathan ni mchezaji mzuri sana, jambo la kwanza tunalopaswa kufanya, bila shaka, ni kumfikisha kwenye kiwango cha utimamu wa mwili tunachotaka. Kwa sababu si tu kuhusu utimamu wa mwili, bali pia kuhakikisha kwamba hapati majeraha. Ikiwa hana utimamu wa kutosha na anahitaji kukimbia kwa kasi kwenye mechi, kuna uwezekano mkubwa wa kuumia, na hilo ndilo tunalotaka kuepuka.

Lakini bila shaka yeye ni mchezaji mzuri na katika siku zijazo atatusaidia sana" Sead Ramovic

#timuyawananchi
#daimambelenyumamwiko
šš‘š„š’š’šŸ’¬ "Jonathan ni mchezaji mzuri sana, jambo la kwanza tunalopaswa kufanya, bila shaka, ni kumfikisha kwenye kiwango cha utimamu wa mwili tunachotaka. Kwa sababu si tu kuhusu utimamu wa mwili, bali pia kuhakikisha kwamba hapati majeraha. Ikiwa hana utimamu wa kutosha na anahitaji kukimbia kwa kasi kwenye mechi, kuna uwezekano mkubwa wa kuumia, na hilo ndilo tunalotaka kuepuka. Lakini bila shaka yeye ni mchezaji mzuri na katika siku zijazo atatusaidia sana" Sead Ramovic #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko
Like
1
Ā· 0 ComentĆ”rios Ā·0 Compartilhamentos Ā·680 VisualizaƧƵes