Nchi ya Rwanda imesema kuwa mbinu za Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo ya kutaka kukomesha mikataba ya Rwanda kimataifa sio suluhisho kwa mzozo wa mashariki mwa DR Congo.

Hii imekuja baada ya Serikali ya DR Congo kuandikia barua vilabu vya Arsenal FC, PSG na FC Bayern wakivitaka visitishe mikataba na Rwanda kwa madai kuwa Nchi hiyo inaunga mkono Waasi wa kundi la M23 na kuwa makubaliano hayo "yana damu".

Nchi ya Rwanda 🇷🇼 imesema kuwa mbinu za Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo 🇨🇩 ya kutaka kukomesha mikataba ya Rwanda kimataifa sio suluhisho kwa mzozo wa mashariki mwa DR Congo. Hii imekuja baada ya Serikali ya DR Congo kuandikia barua vilabu vya Arsenal FC, PSG na FC Bayern wakivitaka visitishe mikataba na Rwanda kwa madai kuwa Nchi hiyo inaunga mkono Waasi wa kundi la M23 na kuwa makubaliano hayo "yana damu".
Like
1
· 0 Commentaires ·0 Parts ·203 Vue