Waziri wa Madini na Petroli wa Afrika Kusini , Gwede Mantashe, amesema katika kongamano la madini linaloendelea Nchini humo:

"Kwa kweli, Marekani inachukua madini ya Afrika lakini inadai itaondoa ufadhili. Tuna madini katika bara hili, kwa hivyo tuna rasilimali—sisi si ombaomba." - amesema Mantashe

Kauli hii inakuja kufuatia tamko la Rais wa Marekani , Donald Trump, aliyesema kuwa serikali yake itasitisha ufadhili kwa Afrika Kusini katika siku zijazo, akidai kuwa Nchi hiyo inanyakua ardhi na kunyanyasa Watu wa tabaka fulani.

Waziri wa Madini na Petroli wa Afrika Kusini 🇿🇦 , Gwede Mantashe, amesema katika kongamano la madini linaloendelea Nchini humo: "Kwa kweli, Marekani inachukua madini ya Afrika lakini inadai itaondoa ufadhili. Tuna madini katika bara hili, kwa hivyo tuna rasilimali—sisi si ombaomba." - amesema Mantashe Kauli hii inakuja kufuatia tamko la Rais wa Marekani 🇺🇸, Donald Trump, aliyesema kuwa serikali yake itasitisha ufadhili kwa Afrika Kusini katika siku zijazo, akidai kuwa Nchi hiyo inanyakua ardhi na kunyanyasa Watu wa tabaka fulani.
Like
1
· 0 Reacties ·0 aandelen ·148 Views