“Naamini mimi ndiye mchezaji bora zaidi katika historia ya soka, hakuna aliyewahi kuwa bora kunizidi. Namba zinaongea , mimi ndiye mchezaji niliyekamilika zaidi kuwahi kutokea. Watu wanaweza kumpenda Messi, Maradona au Pele niliheshimu hilo lakini mimi ndiye mchezaji kamili zaidi na namba zinasema hivyo.”

“Sijaona mchezaji bora kunizidi katika historia ya soka na nasema ukweli kutoka moyoni mwangu” - Cristiano Ronaldo, Mchezaji wa klabu ya Al Nasr.

“Naamini mimi ndiye mchezaji bora zaidi katika historia ya soka, hakuna aliyewahi kuwa bora kunizidi. Namba zinaongea , mimi ndiye mchezaji niliyekamilika zaidi kuwahi kutokea. Watu wanaweza kumpenda Messi, Maradona au Pele niliheshimu hilo lakini mimi ndiye mchezaji kamili zaidi na namba zinasema hivyo.” “Sijaona mchezaji bora kunizidi katika historia ya soka na nasema ukweli kutoka moyoni mwangu” - Cristiano Ronaldo, Mchezaji wa klabu ya Al Nasr.
Like
1
· 0 Commentaires ·0 Parts ·181 Vue