Rais wa Marekani , Donald Trump ameendelea na msimamo wake na kuweka mkazo kuhusu kuifanya Nchi ya Canada kuwa jimbo la (51) la Nchi ya Marekani. Kupitia ukurasa wake wa mtandao X, Rais huyo amesema kuwa Nchi yake ya Marekani inatumia mabilioni ya fedha na punguzo za ushuru kuihudumia Canada hivyo hakuna haja Nchi hiyo kuendelea kuifaidi Marekani wakati ingeweza kuwa sehemu ya Marekani na kupata unafuu bila kuinyonya Nchi ya Marekani.
Donald Trump amesema iwapo Nchi ya Canada itakataa mpango huo basi tozo na ushuru wa bidhaa kwa Taifa hilo utapanda mara dufu na kulingana mataifa mengine. Trump amesema iwapo Canada ikijiunga na Marekani hakutakuwa na tozo wala mazuio ya maelfu ya Raia wa Canada wanaoingia Marekani kufanya kazi.
Ikumbukwe kwamba Nchi za Canada na Mexico ni kati ya mataifa yenye Raia wengi wanaofanya kazi za kujiingizia kipato Nchini Marekani ambao hawana vibali halali vya kazi na uhamiaji (Wahamiaji haramu). Tayari Donald Trump ameshaongea na Viongozi wakuu wa mataifa hayo na kuwapa muda wa siku thelathini (30) kuchukua hatua kwa mapendekezo yake ama utozaji wa tozo na ushuru wa asilimia (25) kwa bidhaa zao uanze mara moja.
Viongozi wa Nchi hizo wamekiri kupokea maelekezo ya Trump na kuahidi kuchukua hatua ikiwemo kuzuia mipaka yao kuwa njia za Wahamiaji haramu. Waziri Mkuu wa Canada, Justin Tradeau amesema Canada kuwa sehemu ya Marekani haitawezekana licha ya kwamba huenda wakakutana rungu la kiuchumi kisha Wananchi wakaamua wenyewe kupitia uchunguzi (kura).

Rais wa Marekani 🇺🇸, Donald Trump ameendelea na msimamo wake na kuweka mkazo kuhusu kuifanya Nchi ya Canada 🇨🇦 kuwa jimbo la (51) la Nchi ya Marekani. Kupitia ukurasa wake wa mtandao X, Rais huyo amesema kuwa Nchi yake ya Marekani inatumia mabilioni ya fedha na punguzo za ushuru kuihudumia Canada hivyo hakuna haja Nchi hiyo kuendelea kuifaidi Marekani wakati ingeweza kuwa sehemu ya Marekani na kupata unafuu bila kuinyonya Nchi ya Marekani.
Donald Trump amesema iwapo Nchi ya Canada itakataa mpango huo basi tozo na ushuru wa bidhaa kwa Taifa hilo utapanda mara dufu na kulingana mataifa mengine. Trump amesema iwapo Canada ikijiunga na Marekani hakutakuwa na tozo wala mazuio ya maelfu ya Raia wa Canada wanaoingia Marekani kufanya kazi.
Ikumbukwe kwamba Nchi za Canada na Mexico 🇲🇽 ni kati ya mataifa yenye Raia wengi wanaofanya kazi za kujiingizia kipato Nchini Marekani ambao hawana vibali halali vya kazi na uhamiaji (Wahamiaji haramu). Tayari Donald Trump ameshaongea na Viongozi wakuu wa mataifa hayo na kuwapa muda wa siku thelathini (30) kuchukua hatua kwa mapendekezo yake ama utozaji wa tozo na ushuru wa asilimia (25) kwa bidhaa zao uanze mara moja.