Ukikiheshimu sana kitu hakikisha hukisogelei na ukikisogelea hakikisha haukizoei. Mazoea yana tabia ya kufanya vitu visivyo vya kawaida kuonekana kawaida. Na kitu kikishakuwa cha kawaida sana mbele zako kinakosa thamani. Hakikisha unaviheshimu vitu vyako vya heshima vikiwa mbali

Like
2
· 2 Commentarios ·0 Acciones ·106 Views