Msanii wa Nigeria , Wizkid achangia kumpa Bob Marley tuzo yake akiwa ni Marehemu.
Pamoja na mafanikio makubwa aliyoyapata akiwa hai, Mwanamziki nguli Duniani, Raia wa Jamaica , Bob Marley hakuwahi kushinda tuzo ya Grammy katika maisha yake, lakini miaka michache iliopita familia yake walimtafuta Msanii kutoka Nchini Nigeria, Wizkid kwa ajili ya kufanya Collabo na Bob Marley ili waweze kuifanya upya kazi ya Bob Marley "One love, Music inspired by the Film, Album.
Baada ya albamu hiyo kutoka ambapo Wizkid ameifanya upya imeshinda albamu bora ya mwaka ya Reggae 2025 kwenye tuzo za Grammy na kuweka rekodi ya kuwa tuzo ya kwanza ya Grammy ya Bob Marley huku shukurani kubwa amepewa Wizkid.
Aidha, Wizkid amepokea cheti kutoka kwenye Uongozi wa Grammy na barua ya shukurani kutoka kwa familia ya Marley kwa kuifanya heshima ya baba yao kuendelea kuwepo Duniani na kumsaidia Mwanamziki huyo Mkongwe wa muziki wa Reggae kushinda Grammy yake ya kwanza.

Msanii wa Nigeria 🇳🇬, Wizkid achangia kumpa Bob Marley tuzo yake akiwa ni Marehemu.
Pamoja na mafanikio makubwa aliyoyapata akiwa hai, Mwanamziki nguli Duniani, Raia wa Jamaica 🇯🇲, Bob Marley hakuwahi kushinda tuzo ya Grammy katika maisha yake, lakini miaka michache iliopita familia yake walimtafuta Msanii kutoka Nchini Nigeria, Wizkid kwa ajili ya kufanya Collabo na Bob Marley ili waweze kuifanya upya kazi ya Bob Marley "One love, Music inspired by the Film, Album.
Baada ya albamu hiyo kutoka ambapo Wizkid ameifanya upya imeshinda albamu bora ya mwaka ya Reggae 2025 kwenye tuzo za Grammy na kuweka rekodi ya kuwa tuzo ya kwanza ya Grammy ya Bob Marley huku shukurani kubwa amepewa Wizkid.
Aidha, Wizkid amepokea cheti kutoka kwenye Uongozi wa Grammy na barua ya shukurani kutoka kwa familia ya Marley kwa kuifanya heshima ya baba yao kuendelea kuwepo Duniani na kumsaidia Mwanamziki huyo Mkongwe wa muziki wa Reggae kushinda Grammy yake ya kwanza.
0 التعليقات
·0 المشاركات
·196 مشاهدة