Bunge la Nchi ya Uganda limependekeza Wabunge Wanajeshi kuvaa mavazi rasmi ya Bunge wakiwa Bungeni, badala ya kuvaa sare zao wakati wa mijadala.

Kamati ya Bunge inayosimamia masuala ya utaratibu na nidhamu imesema si sahihi kwa Wabunge hao wanaowakilisha Wanajeshi kuingia na magwanda yao, kwa kuwa yanaonyesha ishara ya kuwa vitani.

Ikumbukwe kwamba Nchi ya Uganda ndio Nchi pekee barani Afrika wenye Wabunge Wanajeshi. Wanajeshi hao huteuliwa Jeshini kisha kupigiwa kura na kupatikana Wabunge hao huku Watatu (3) kati yao lazima wawe Wanawake.

Bunge la Nchi ya Uganda πŸ‡ΊπŸ‡¬ limependekeza Wabunge Wanajeshi kuvaa mavazi rasmi ya Bunge wakiwa Bungeni, badala ya kuvaa sare zao wakati wa mijadala. Kamati ya Bunge inayosimamia masuala ya utaratibu na nidhamu imesema si sahihi kwa Wabunge hao wanaowakilisha Wanajeshi kuingia na magwanda yao, kwa kuwa yanaonyesha ishara ya kuwa vitani. Ikumbukwe kwamba Nchi ya Uganda ndio Nchi pekee barani Afrika wenye Wabunge Wanajeshi. Wanajeshi hao huteuliwa Jeshini kisha kupigiwa kura na kupatikana Wabunge hao huku Watatu (3) kati yao lazima wawe Wanawake.
Like
1
Β· 0 Comments Β·0 Shares Β·26 Views